MFAHAMU KWA UFUPI P. DIDDY, MKANDAJI
Watu wengi wanadhani P. Diddy ni kijana ila ukweli P. Diddy ni moja kati ya wasanii wakongwe zaidi wa Hip Hop duniani, Ana umri wa miaka 54 amezaliwa mwaka 1969, ameanza muziki mwaka 1988
P. Diddy jina lake halisi ni Sean John Combs