LEO KANYE WEST KAJA NA MPYA 🙌👇
Moja ya kitu pekee kinachoendelea juu ya rafiki yangu wa zamani Pdidy , kaamua kwenda kinyume na ulimwengu wa Siri.
Nilimuonya sana na hakutaka kunisikia hapo awali , nilimuambia juu ya consava ya Miami lakini akawa ni mbishi.
Kinacho msumbua P.didy ni jambo Moja tu , ni kukataa kurudisha mali zao pamoja na majumba Yao.
P.didy alijisahau sana alinikejeli wazi wazi Kwa kusema ataenda Netflix Ili akatoe movie yangu ya kuugua ukichaa akati Mimi ni mzima .
Lakini Mimi kichaa nilishajiandaa na maisha baada ya ulimwengu wa Siri , ivyo wamenipokonya mali zao lakini Bado ni Nina utajiri ulele Sababu niliyajua haya.
Marangapi walitaka kuniua na wameshinda Kwa uwezo wa mungu.